Boma (maana)
Boma inaweza kutaja
- Boma, jengo imara au sehemu iliyoimarishwa hasa kwa kusudi la kujitetea dhidi ya mashambulio; pia kwa kutunza wanyama wakati wa usiku
- eneo fulani lililopo karibu na boma, au mahali ambako boma lilikuwepo, na hivyo jina la kata mbalimbali nchini Tanzania
- Boma (Mkinga), kata ya Wilaya ya Mkinga
- Boma (Mafinga), kata ya Wilaya ya Mafinga
- Boma Mbuzi, kata ya Wilaya ya Moshi Mjini
- Boma la Ng'ombe kata ya Wilaya ya Kilolo
- Bomang'ombe, kata ya Wilaya ya Hai
- Boma (Morogoro), kata ya Wilaya ya Morogoro Mjini
- Boma (Nachingwea), kata ya Wilaya ya Nachingwea
- Bomani (Tarime), kata ya Wilaya ya Tarime
Jina hilo linapatikana pia nje ya Tanzania:
- Boma (Kongo), mji katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- Boma (jimbo) ni jimbo nchini Sudan Kusini