Bonde la Makgadikgadi

20°48′S 25°20′E / 20.800°S 25.333°E / -20.800; 25.333 Bonde la Makgadikgadi linapatikana katikati ya savana kavu ya Botswana kaskazini mashariki[1].

Bonde la Makgadikgadi linaonekana vizuri upande wa kulia wa Delta ya Okavango katika picha hii ya Botswana iliyopigwa kutoka angani.

Ni kati ya maziwa yaliyokauka makubwa zaidi duniani. Chumvi iliyofunika ardhi yake kwa urefu na upana ndiyo mabaki ya Ziwa Makgadikgadi, lililowahi kuwa kubwa kuliko Uswisi, lakini lilikauka miaka elfu kumi kadhaa iliyopita.

Homo sapiens aliwahi kuishi katika eneo hilo lenye rutuba na wingi wa uhai miaka 200,000 hivi iliyopita[2].

Tanbihi hariri

  1. Makgadikgadi is technically not a single pan, but many pans with sandy desert in between, the largest being the Sua (Sowa), Nwetwe and Nxai Pans.
  2. Chan, E. K. F., 2019. Human origins in a southern African palaeo-wetland and first migrations. Nature doi: 10.1038/s41586-019-1714-1

Viungo vya nje hariri