Bondeni
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Bondeni inataja mahali penye bonde fulani. Inapatikana kama jina la kata na vijiji mbalimbali, kwa mfano
- kata ya Bondeni (Hai), Mkoa wa Kilimanjaro
- kata ya Bondeni (Kyela), Mkoa wa Mbeya
- kata ya Bondeni (Moshi Mjini), Mkoa wa Kilimanjaro
- kata ya Fuoni Kibondeni, Mkoa wa Mjini Magharibi
- kata ya Kikwajuni Bondeni, Mkoa wa Mjini Magharibi