Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Mjini Magharibi)
6°10′00″S 39°15′00″E / 6.1667°S 39.2500°E
Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye Postikodi namba 71000. Mikoa mitatu kati yake iko katika kisiwa cha Unguja.
Mkoa huu una wilaya tatu ambazo ndizo Mjini, yaani Jiji la Zanzibar, Unguja Magharibi A na Unguja Magharibi B.
Mkoa una wakazi 893,169 kadiri ya sensa ya mwaka 2022 [1]. Walikuwa 593,678; Mjini 223,033 na Magharibi 370,645 katikasensa ya mwaka 2012[2].
Marejeo
hariri- ↑ https://www.nbs.go.tz
- ↑ "2002 Population and Housing General Report: Urban West". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Machi 2004.
{{cite web}}
: Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Katavi | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Njombe | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Simiyu | Singida | Songwe | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi |
Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |