Bongoland II ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2008 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Peter Omari, Thecla Mjatta, Ahmed Olotu, Shafii Abdul, Chemi Che-Mponda, Sabrina Rupia, Hamisi Abdallah na Hashim Kambi. Filamu inahusu kijana mmoja (Peter Omari kacheza kama Juma) anayejaribu kurudi nyumbani, Bongoland, kuja kuangalia maisha ya hapa vipi baada ya kushindwana na maisha ya huko nchini Marekani. Anakuta maisha ya Bongoland ni magumu kulivyo alivyodhani na mbaya zaidi anajua siri mbaya inayoisibu familia yake.

Bongoland II

Posta ya Bongoland II
Imeongozwa na Josiah Kibira
Imetayarishwa na Josiah Kibira
Imetungwa na Josiah Kibira
Nyota Peter Omari
Thecla Mjatta
Ahmed Olotu
Shafii Abdul
Chemi Che-Mponda
Sabrina Rupia
Hamisi Abdallah
Hashim Kambi
Sinematografi Samuel Fischer
Imehaririwa na Lucas Langworthy
Imesambazwa na Kibira Films
Imetolewa tar. 5 Aprili, 2008
Ina muda wa dk. 100
Nchi Tanzania
Lugha Kiswahili

Bongoland II katika wavuti yake</ref>[1][2] Kazi ya uaandaaji washiriki kwa Dar es Salaam ilifanywa na Gervas Kasiga aliyesimamia usaili huu kwa Tanzania. Hii ni sehemu ya pili ya toleo la kwanza la filamu hii ambayo ilitoka mwaka 2003.

Washiriki hariri

Marejeo hariri

  1. seti ya filamu ya Bongoland II katika blogu ya Issa Michuzi.
  2. Bongoland II katika wavuti ya LetterBoxd
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bongoland II kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.