Breithorn ni mlima wa Alpi kati ya nchi za Italia na Uswisi (Ulaya).

Mlima Breithorn, upande wa Kaskazini

Urefu wake ni mita 4,164 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri