Bretanioni

Bretanioni (pia: Bretani, Vetrani, Vetranioni; alifariki Tomi, leo Constanţa, Romania, 380 hivi) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 360[1].

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 25 Januari[2].

MaishaEdit

Kwa kumpinga hadharani kaisari Valens, aliyetaka Wakristo wafuate mafundisho ya Ario, alipelekwa uhamishoni[3] Lakini baadaye aliruhusiwa kurudi kutokana na malalamiko ya umati uliosifu imani na maadili yake.[4],

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.