Brian Rob Kimutabi

Brian Rop Kimutai almaarufu Uledi Bryan Kinda mtunga nudhumu alizaliwa mwaka wa 1993 katika hospitali ya ya Kericho mkoa wa Bonde la Ufa nchini kenya (Ambayo sasa ni kaunti ya Kericho Kulingana na katiba mpya 2010).

ELIMU

Mwaka wa 2000 hadi 2007 alipata elimu ya shule ya msingi Kedowa ambapo alifuzu vyema na kujiunga na shule ya upili ya Kimasian kaunti ya Kericho. Baadaye mwaka wa 2010 alijiunga na shule ya Upili Boito kaunti ya Bomet ambapo alihitimu na kupata cheti cha kuhitimu masomo ya sekondari (KCSE) mwaka wa 2011. Mnamo mwaka wa 2012 alijiunga na Chuo cha Ualimu cha Lanet mjini Nakuru kwa stashahada ya elimu(kiswahili na somo la dini ya kikristo) ambapo alihitimu mwishoni mwa 2015.

Mwaka wa 2017 alifundisha katika shule ya Upili ya Murunyu mjini Nakuru kwa mwaka mmoja kisha Garissa Academy senior schoolmwaka 2017. Kwa sasa anafundisha kiswahili chuo cha ualimu cha lanet Nakuru.

Uledi aliingia kwenye tasnia ya ushairi katika kidato cha tatu mwaka 2010. Alipata ari na ukakamavu zaidi wakati alipopewa heko na walimu na wenzake shuleni. Aliwahi kutunga na kughani mashairi kwenye halfla mbalimbali shuleni na hata kutuzwa na viongozi maarufu akiwemo aliyekuwa mbunge wa konoin Mheshimiwa Julius Kones .

Mashairi ya uledi yamechapishwa kwenye magazeti mbalimbali nchini [[Kenya][ na Tanzania na hata kughaniwa redioni. Baadhi ya magazeti ya nchini Kenya yaliyochapisha mashairi yake ni Taifa leo , na Mwananchi nchini Tanzania. Radio zilizoghani baadhi ya tungo zake ni Radio Kaya Ya kwale mombasa na Radio Iman ya Morogoro Tanzania.

Vitabu ambavyo anatarajia kuvitoa: