Briony Penn

Mwanaharakati wa mazingira wa Canada

Briony Penn (alizaliwa Saanich, British Kolumbia, Oktoba 16, 1960) ni mwandishi na mwanaharakati wa mazingira wa nchini Kanada ambaye alipata usikivu wa kimataifa alipopinga ukataji miti kwenye kisiwa cha Salt Spring kwa kupanda farasi katikati mwa jiji la Vancouver akiwa karibu uchi na amevalia kama Lady Godiva.

Alishinda tuzo ya mkoa ya Roderick Haig-Brown na aliorodheshwa kwenye tuzo ya Hubert Evans Non-Fiction mnamo 2016 kwa kitabu chake The Real Thing: The Natural History of Ian McTaggart Cowan (Rocky Mountain Books).[1][2]

Marejeo

hariri
  1. "Briony Penn". Raincoast Conservation Foundation (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-04-11.
  2. "Briony Penn". Briony Penn (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-04-11.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Briony Penn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.