Brittany Baxter

Mchezaji wa soka wa Canada

Brittany Amanda Baxter (née Timko) (alizaliwa Septemba 5, 1985) [1] ni mchezaji wa soka mstaafu wa nchini Kanada ambaye alichezea vilabu vitano tofauti na kushinda mechi 132 akiwa na timu ya taifa ya Kanada.

Brittany Amanda Baxter

Amezaliwa 5 september 1985
kanada
Nchi canada
Kazi yake mchezaji

Kazi ya klabu hariri

Timu yake kwanza kuchezea ilikuwa Vancouver Whitecaps Women . Alicheza pia kwenye timu ya soka ya chuo kikuu cha Nebraska-Lincoln tangu 2003 hadi 2007, alihitimu Mei 2007. Kisha akasainiwa na timu ya Melbourne Victory ya ligi ya W-League ya Australia mnamo Oktoba 2008, [2] akaungana na kocha wake wa zamani Matt Shepherd. [3]

Marejeo hariri

  1. "Athlete Detail Page – Brittany Baxter". Canadian Olympic Committee. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo August 20, 2008. Iliwekwa mnamo August 21, 2008.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Victory Women on track for Westfield W-League debut". Melbourne Victory. October 14, 2008. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-04-19. Iliwekwa mnamo August 12, 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "Victory in Melbourne » melbourne victory". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo January 6, 2009. Iliwekwa mnamo April 2, 2009.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brittany Baxter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.