5 Septemba
tarehe
(Elekezwa kutoka Septemba 5)
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 5 Septemba ni siku ya 248 ya mwaka (ya 249 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 117.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1638 - Mfalme Louis XIV wa Ufaransa
- 1939 - George Lazenby, mwigizaji filamu kutoka Australia
- 1979 - John Carew, mchezaji wa mpira kutoka Norwei
Waliofariki
hariri- 1165 - Nijo, mfalme mkuu wa Japani (1158-1165)
- 1569 - Pieter Brueghel Mzee, mchoraji kutoka Uholanzi
- 1997 - Mtakatifu Mama Teresa wa Kolkata (Agnes Bojaxhiu), bikira, mmisionari na mwanzilishi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka 1979
- 2010 - Lewis Nkosi, mwandishi wa habari kutoka Afrika Kusini
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Akonsi na wenzake, Kwinto wa Capua, Urbani, Theodori na wenzao, Bertino wa Sithieu, Alberto wa Butrio, Petro Nguyen Van Tu, Yosefu Hoang Luong Canh, Teresa wa Kolkata n.k.
Kwa heshima ya huyo wa mwisho, Umoja wa Mataifa umetangaza tarehe hiyo kuwa Siku ya Kimataifa ya Upendo.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |