Buffalo Souljah

Mwanamuziki wa Zimbabwe

Buffalo Souljah,(Thabani Ndlovu) ni msanii na mtunzi wa muziki wa reggae wa nchini Zimbabwe mwenye makazi yake nchini Afrika Kusini. Alipata jumla ya ushindi mara 10 kwenye tuzo mbalimabli kama vile Video za Muziki za Channel ya O Afrika, Tuzo za Muziki za Soundcity, pamoja na Tuzo za Zimdancehall. Anamiliki lebo ya muziki ya UNA (United Nations of Africa Music Group).[1][2][3][4][5][6][7]

Thabani Ndlovu
Amezaliwa 16 Septemba 1983 (1983-09-16) (umri 40)
Bulawayo, Zimbabwe
Nchi Zimbabwe
Majina mengine Buffalo Souljah
Kazi yake Mwanamuziki


Mwanamuziki Buffalo Souljah

Maisha ya Awali hariri

Alizaliwa mwaka 1980 huko Bulawayo, Thabani Ndhlovu ni mtoto wa tatu kuzaliwa katika familia ya watoto wanne.Alihamia Harare ambako alilelewa katika kitongoji cha Mufakose. Alisomea Shule ya upili ya Mufakose kisha akahamia Afrika Kusini mara baada ya kuhitimu.

Marejeo hariri

  1. "Buffalo Souljah". Discogs (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2017-03-06. 
  2. "Buffalo Souljah up in arms-Why Only Kirsty, Chidzonga? | The Herald". www.herald.co.zw (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2017-03-06. 
  3. Nkhoma, Ron. "Malawi: Buffalo Souljah Set for Valentine's Live Performance in Lilongwe", Nyasa Times (Leeds), 2017-02-14. 
  4. "An ode to heroes of Malawi | Malawi24 - All the latest Malawi news". Malawi24. 2017-02-28. Iliwekwa mnamo 2017-03-06. 
  5. Entertainment, TMG. "Crossing all borders: Nasty C and Buffalo Souljah bring heat to the Coke Studio". Times LIVE. Iliwekwa mnamo 2017-03-06. 
  6. Johnson, Ayodele. "New Music: Buffalo Souljah - My lady". (en-US) 
  7. "Buffalo Souljah and Pah Chihera to represent Zimbabwe at US awards", 2016-07-22. 
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Buffalo Souljah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.