Bukeerere (wakati mwingine imeandikwa vibaya kama Bukerere lakini tahajia sahihi ya kifonetiki ina 'e' mbili baada ya 'k'.[1]) ni mji katika Mkoa wa Kati huko Uganda.

Mahali pa Bukeerere katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 00°24′27″N 32°42′07″E / 0.40750°N 32.70194°E / 0.40750; 32.70194

Mahali

hariri

Bukeerere iko katika wilaya ya Mukono, kilometa 11 (maili 6.8), kwa barabara, kaskazini magharibi mwa Mukono, makao makuu ya wilaya.

Marejeo

hariri
  1. "Oluguudo lwe'Bukeerere lukolebwa ddi? (When will Bukerere Road be improved?)". Bukedde Newspaper Online (kwa Ganda). Kampala. 8 Julai 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-06-28. Iliwekwa mnamo 10 Januari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)