Bukit Pagon ni mlima wenye kimo cha m 1,850 juu ya usawa wa bahari.

Ndio mrefu kuliko yote ya nchi ya Brunei ambayo iko katika kisiwa cha Borneo.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bukit Pagon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.