Busa ni kinywaji cha asili cha Warombo wanaopatikana Kaskazini mwa Tanzania katika Mkoa wa Kilimanjaro.
Tofauti na mbege, inatengenezwa kwa mahindi.