Busem Şeker
Busem Şeker (alizaliwa Julai 19, 1998) ni mchezaji wa soka wa nchini Uturuki na ambaye anacheza katika Ligi daraja la Kwanza ya Wanawake nchini Uturuki katika timu ya Konak Belediyespor akivaa jezi nambari 10. Pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Uturuki.[1] [2] [3]
Busem Şeker
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Ujerumani, Uturuki |
Nchi anayoitumikia | Uturuki |
Jina katika lugha mama | Busem Şeker |
Jina halisi | Busem |
Jina la familia | Şeker |
Tarehe ya kuzaliwa | 19 Julai 1998 |
Mahali alipozaliwa | Hamburg |
Lugha ya asili | Kituruki |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kituruki |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Kiungo |
Mwanachama wa timu ya michezo | SV Henstedt-Ulzburg |
Mchezo | mpira wa miguu |
Marejeo
hariri- ↑ "Oyuncular – Futbolcular: Busem Şeker" (kwa Turkish). Türkiye Futbol Federasyonu. Iliwekwa mnamo 8 Aprili 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Turkey 3–0 Montenegro". FIFA Women's World Cup. Iliwekwa mnamo 8 Aprili 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Kadın A Milli Takımı, Karadağ'ı 3–0 yendi" (kwa Turkish). Türkiye Futbol Federasyonu. 6 Aprili 2017. Iliwekwa mnamo 8 Aprili 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Busem Şeker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |