Buziku ni kata ya Wilaya ya Chato katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Msimbo wa posta ni 30314.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 29,724 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 15,757 waishio humo.[2]

Buziku inasifika kwa mazao ya pamba, mpunga, mahindi na pia mzunguko wa biashara, hasa eneo maarufu liitwalo Mererani mkabala na soko kuu la Buziku.

Kuna parokia ya Kanisa Katoliki, Jimbo la Rulenge-Ngara.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Chato - Mkoa wa Geita - Tanzania  

Bukome | Buseresere | Butengorumasa | Buziku | Bwanga | Bwera | Bwina | Bwongera | Chato | Ichwankima | Ilemela | Ilyamchele | Iparamasa | Kachwamba | Kasenga | Katende | Kigongo | Makurugusi | Minkoto | Muganza | Muungano | Nyamirembe | Nyarutembo

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.