Chato ni kata ya Wilaya ya Chato katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Msimbo wa posta ni 30301. [1]

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 25,771 [2]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17,508 waishio humo.[3]

Chato imekuwa maarufu hasa kama asili ya rais John Magufuli ambaye alielekeza huko pesa nyingi za umma kuiendeleza kwa kila namna [4].

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01. 
  2. https://www.nbs.go.tz, uk 229
  3. Sensa ya 2012, Geita Region – Chato District Council
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-05-16. Iliwekwa mnamo 2023-05-13. 
  Kata za Wilaya ya Chato - Mkoa wa Geita - Tanzania  

Bukome | Buseresere | Butengorumasa | Buziku | Bwanga | Bwera | Bwina | Bwongera | Chato | Ichwankima | Ilemela | Ilyamchele | Iparamasa | Kachwamba | Kasenga | Katende | Kigongo | Makurugusi | Minkoto | Muganza | Muungano | Nyamirembe | Nyarutembo

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.