Milima Cal Madow
(Elekezwa kutoka Cal Madow)
10°44′09″N 47°14′42″E / 10.73583°N 47.24500°E
Milima ya Cal Madow ni safu ya milima ya Somaliland (Somalia, Pembe ya Afrika) ambapo wanyama wengi wa pekee wa Afrika na dunia kwa jumla wanaishi.
Milima hii ni kati ya maeneo machache ya Somliland na Somalia kwa jumla penye misitu. Kimo chake kinafikia hadi mita 2,410 juu ya usawa wa bahari.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Milima Cal Madow kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |