Capone-N-Noreaga (pia wanajulikana kama C-N-N) ni jina la kutaja kundi la muziki wa hip linaloendeshwa na watu wawili kutoka mjini Queens, New York City, New York. Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1995. Wawili hawa wanaunganishwa na marapa kutoka East Coast hip hop, Capone na Noreaga.[1]

Capone-N-Noreaga
Pia anajulikana kamaC-N-N
AlaSauti
Miaka ya kazi1995–2004, 2006–2011, 2013–hadi sasa
StudioPenalty (1996-1999, 2014-present)
Tommy Boy (1996-2001)
Def Jam (2001-2005)
SMC (2008-2011)
IceH²O Records (2009-2011)
Ameshirikiana naBusta Rhymes, Mobb Deep, Tragedy Khadafi Imam T.H.U.G., The LOX, Nas, Raekwon

Historia hariri

Mnamo 1995, Capone-N-Noreaga walionekana kwenye jarida la The Source mnamo mwezi October wakiwa hawajapata mkataba na studio yoyote ile. Mwaka wa 1996, wawili hawa wakapata kuingia mkataba na studio ya Penalty Records. Mwaka wa 1996, kabla albamu ya kumalizika kwa albamu ya kwanza ya kundi, Capone akapigwa kifungo cha nje kwa kuleta fujo,[2] na Noreaga akamalizia albamu yao ya kwanza ya The War Report, kwa msaada wa wasanii wenzi wao kadhaa wa kutoka mjini New York City hip-hop kama vile Mobb Deep na Tragedy Khadafi. Albamu ilipata mafanikio makubwa kitahakiki na kifedha vilevile;[3] pia iliona joto ya jiwe inayoendelea wa East Coast-West Coast hip hop kati ya Death Row Records na Bad Boy Entertainment, ikaufanya mzozo wa East Coast/West Coast kuzidi kuwa mkubwa, wakiwajibu kundi lingine lenyewe watu wawili la West Coast hip hop Tha Dogg Pound na kibao chao cha "New York, New York", na ngoma yao ngumu ya "L.A L.A".

Diskografia hariri

Albamu za studio hariri

Orodha ya albamu, na chati zilizochaguliwa
Jina Albamu Nafasi iliyoshika
US
US
R&B

US
Rap

The War Report 21 4
The Reunion 31 8
Channel 10
  • Imetolewa: Machi 17, 2009
  • Studio: SMC Recordings
  • Muundo: CD, pakuo la kidijitali
136 21 7
The War Report 2: Report the War
  • Imetolewa: Julai 13, 2010
  • Studio: SMC Recordings, IceH²O Records
  • Muundo: CD, pakuo la kidijitali
104 19 12
Lessons
  • Imetolewa: Juni 16, 2015
  • Studio: Thugged Out Militainment
  • Muundo: CD, pakuo la dijitali
"—" viashiria vina maanisha ya kwamba rekodi hiyo haijashika chati kabisa.

Albamu za kompilesheni hariri

Orodha ya albamu, ikiwa na nafasi za chati zilizochaguliwa
Jina Maelezo ya albamu Nafasi iliyoshika
US
US
R&B

US
Rap

The Best of Capone-N-Noreaga: Thugged da F*@# Out 70

Kandamseto hariri

Orodha ya kandamseto, na mwaka iliyotolewa
Jina Maelezo ya aalbamu
Camouflage Season

Vibao vyao hariri

Jina Mwaka Nafasi iliyoshika[5] Albamu
US
US R&B
US Rap
"Illegal Life"
(featuring Havoc and Tragedy Khadafi)
1996 84 18 The War Report
"L.A., L.A."
(featuring Mobb Deep and Tragedy Khadafi)
39
"T.O.N.Y. (Top of New York)"
(featuring Tragedy Khadafi)
1997 103 56 16
"Closer"
(featuring Nneka)
111 63 9
"Phonetime" 2000 22 The Reunion
"Y'all Don't Wanna" 2001 71
"Yes Sir"[6] 2003 non-album single
"Follow the Dollar" 2008 Channel 10
"Rotate"
(featuring Busta Rhymes and Ron Browz)
2009 115
"Talk To Me Big Time"
"Hood Pride"
(akiwa na Faith Evans)
2010 The War Report 2: Report the War
"3 on 3"
(featuring Tragedy Khadafi and The LOX)
2015 Lessons

Marejeo hariri

  1. N.O.R.E. Announces Capone-N-Noreaga Has Disbanded - Get The Latest Hip Hop News, Rap News & Hip Hop Album Sales - HipHop DX. HipHopDX. Iliwekwa mnamo 17 September 2014.
  2. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-11-13. Iliwekwa mnamo 2015-06-04.
  3. You must specify title = and url = when using {{cite web}}.. Allmusic. Iliwekwa mnamo 2014-09-17.
  4. Capone-N-Noreaga - Camouflage Season - DJ Green Lantern. Livemixtapes.com. Iliwekwa mnamo 2015-05-13.
  5. [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] Artist Chart History - Capone-N-Noreaga]
  6. Capone -N- Noreaga - Yes Sirr (Vinyl) at Discogs. Discogs.com. Iliwekwa mnamo 2015-05-13.

Viungo vya nje hariri

Kigezo:Capone-N-Noreaga Kigezo:N.O.R.E.