Corey Woods (amezaliwa 12 Januari, 1970) ni msanii wa rap na hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Raekwon (pia huitwa "Raekwon the Chef"). Huyu ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la muziki wa hip la Wu-Tang Clan. Alitoa albamu yake ya kwanza akiwa kama msanii wa kujitegemea mnamo mwaka wa 1995. Albamu ilikwenda kwa jina la Only Built 4 Cuban Linx..., na akaendelea kufanya shughuli zake akiwa kama msanii wa kujitegemea huku akiwa na washikaji zake wa Wu-Tang Clan. Mnamo mwaka wa 2009, Raekwon ametoa toleo la pili la albamu yake ya kwanza na kuipa sifa ileile, Only Built 4 Cuban Linx... Pt. II.

Raekwon The Chef

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Corey Woods
Asili yake New York City, New York, United States
Aina ya muziki Hip hop
Miaka ya kazi 1993 - mpaka sasa
Studio Loud, Universal, Aftermath, EMI
Legion of D.O.O.M.
Ame/Wameshirikiana na Wu-Tang Clan
Tovuti www.myspace.com/raekwon

Diskografia

hariri

Albamu

hariri
Mwaka Jina Nafasi ya Chati[1] RIAA certifications[2]
U.S. U.S. R&B U.S. Rap
1995 Only Built 4 Cuban Linx...
  • Imetolewa: 1 Agosti 1995
  • Studio: Loud
4 2 * Gold
1999 Immobilarity
  • Imetolewa: 16 Novemba 1999
  • Studio: Loud
9 2 * Gold
2003 The Lex Diamond Story 102 18 * -
2009 Only Built 4 Cuban Linx... Pt. II
  • Imetolewa: 8 Septemba 2009
  • Studio: EMI
4 2 2 210,000[3]

Kandamseto

hariri
Jina la Albamu Tarehe ya Kutolewa
Only Built 4 the Streets 2003
Heroin Only 2006
R.A.G.U. (Rae and Ghost United) 2006
The Vatican Mixtape Vol. 1 2007
The Vatican Mixtape Vol. 2: The DaVinci Code 2007
The Vatican Mixtape Vol. 3: House of Wax 2007
R.A.G.U. Vol. 2 (Raekwon and Ghostface United Pt. 2) 2008
Blood On Chefs Apron 2009
Staten Go Hard[4] 2009

Single zake

hariri
Mwaka Jina Nafasi ya Chati Albamu
U.S. U.S. R&B U.S. Rap
1994 "Heaven & Hell" (akimshirikisha Ghostface Killah) 102[5] 32 Fresh soundtrack and Only Built 4 Cuban Linx...
1995 "Incarcerated Scarfaces" / "Ice Cream" (akimshirikisha Ghostface Killah, Method Man, na Cappadonna) 37 37 5 Only Built 4 Cuban Linx...
"Glaciers of Ice" (akimshirikisha Ghostface Killah, Masta Killa, and Blue Raspberry)/ "Criminology" (akimshirikisha Ghostface Killah) 43 32 5
1999 "Live From New York" 30 Immobiliarity
2003 "Smith Bros." The Lex Diamond Story
2004 "The Hood" (akimshirikisha Tiffany Villarreal)
2009 "New Wu" (akimshirikisha Ghostface Killah and Method Man) Only Built 4 Cuban Linx... Part II
"House of Flying Daggers" (akimshirikisha GZA, Method Man, Inspectah Deck, Ghostface Killah)
"Catalina" (akimshirikisha Lyfe Jennings)

Akiwa kama mwimbaji mshirikishwa

hariri
Mwaka Jina Nafasi ya Chati Albamu
U.S. U.S. R&B U.S. Rap
2000 "Apollo Kids" (Ghostface Killah akimshirikisha Raekwon) 121 32 Supreme Clientele
2001 "Never Be the Same Again" (Ghostface Killah akimshirikisha Carl Thomas na Raekwon) 65 21 Bulletproof Wallets
2008 "Royal Flush" (Big Boi akimshirikisha Andre 3000 na Raekwon) 68 Sir Luscious Left Foot: The Son of Chico Dusty

Marejeo

hariri
  1. "Raekwon > Charts & Awards > Billboard Albums". allmusic. Iliwekwa mnamo 2009-09-18.
  2. "Gold & Platinum - Raekwon". RIAA. Iliwekwa mnamo 2008-09-08.
  3. http://www.hiphopdx.com/index/news/id.9931/title.hip-hop-album-sales-the-week-ending-10-4-2009
  4. Raekwon - Staten Go Hard Mixtape Archived 27 Machi 2009 at the Wayback Machine.. WeLiveThis.com. Accessed 23 Machi 2009
  5. "Bubbling Under Hot R&B Singles", Billboard, juz. 107, na. 2, uk. 19, 1995-01-14

Viungo vya nje

hariri


  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Raekwon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.