Carl Jenkinson

Wachezaji mpira wa Uingereza

Carl Jenkinson(alizaliwa 8 Februari 1992) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anachezea katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza iitwayo Arsenal.

Carl Jenkinson
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaUfalme wa Muungano Hariri
Nchi anayoitumikiaUingereza, Ufini Hariri
Jina katika lugha mamaCarl Jenkinson Hariri
Jina la kuzaliwaCarl Daniel Jenkinson Hariri
Jina halisiCarl Hariri
Jina la familiaJenkinson Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa8 Februari 1992 Hariri
Mahali alipozaliwaHarlow Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timufullback Hariri
Muda wa kazi2009 Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji16 Hariri
LigiLigi Kuu Uingereza Hariri
Carl Jenkinson

Kazi ya klabu hariri

Jenkinson alianza kazi yake na klabu ya Charlton Athletic kabla ya kujiunga na klabu ya Arsenal mwaka 2011.

Alicheza msimu wa 2014-15 na 2015-16 kwa mkopo katika klabu ya West Ham United, aliumia katikati ya msimu. Alicheza msimu wa 2017-18 kwa mkopo katika klabu ya Birmingham City.

Kazi ya kimataifa hariri

Aliwakilisha timu ya taifa ya Uingereza dhidi ya Finland wakati wa ngazi ya vijana kabla ya kucheza katika timu kubwa ya Uingereza mwaka 2012.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carl Jenkinson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.