Carlos Fernández
Mchezaji wa soka wa nchini Hispania
Carlos Fernández Luna (alizaliwa Seville, Andalusia, Mei 22, 1996) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Sevilla FC.
Carlos Fernández
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Hispania |
Jina halisi | Carlos |
Jina la familia | Fernández |
Tarehe ya kuzaliwa | 22 Mei 1996 |
Mahali alipozaliwa | Sevilla |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kihispania |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Forward (association football) |
Muda wa kazi | 2013 |
Mwanachama wa timu ya michezo | Sevilla FC, Deportivo de La Coruña, Granada CF, Real Sociedad |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 28 |
Fernández alianza kucheza soka na timu Sevilla FC akiwa na umri wa miaka 17, akishindana katika Segunda División B. Tarehe 18 Desemba 2013, alihamishwa kutoka Sevilla B na kupelekwa katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo.
Fernández alifunga goli lake la kwanza na Sevilla A mnamo 21 Agosti 2016, katika uwanja wa nyumbani kwa kutoka sare ya mabao 3-3 dhidi ya Girona FC. Wakati wa mafunzo mwanzoni mwa Oktoba 2016, Fernández alivunjika sehemu ya goti la mguu wa kushoto, akipoteza msimu wote.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Carlos Fernández kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |