Carlos Santana
Carlos Augusto Santana Alves (amezaliwa tar. 20 Julai 1947 mjini Autlán de Navarro, Mexiko) ni mshindi wa Tuzo ya Grammy, akiwa kama mwanamuziki-mpiga gitaa bora wa Kimexiko. Ameanza kujipatia umaarufu tangu kunako miaka ya 1960 na mwanzoni mwa miaka ya 1970 akiwa na bendi yake ya Santana Bendi, ambayo imejizolea umaarufu na mafanikio makubwa kwa muziki wao wa rock, blues, salsa, na jazz fusion.
Carlos Santana | |
---|---|
Carlos Santos
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Carlos Augusto Santana Alves |
Amezaliwa | 20 Julai 1947 |
Asili yake | Autlán de Navarro, Jalisco, Mexiko |
Aina ya muziki | Blues-rock, Latin rock, Rock ya vyombo vitupu, Jazz fusion, Hard rock, Garage rock |
Kazi yake | Mwanamuziki, mtunzi wa nyimbo |
Ala | Gitaa |
Miaka ya kazi | 1966–hadi leo |
Studio | Arista, Polydor, Columbia/CBS |
Ame/Wameshirikiana na | Santana, Chad Kroeger, Rob Thomas, Michelle Branch |
Tovuti | http://www.santana.com |
Bendi imeingizia baadhi ya ala zake mwenyewe, yaani anapiga blues-besi gitaa iendanayo na muundo sawa kabisa na zile ngoma za Kilatini kama vile timbalesi na congasi. Santana aliendlea kufanya shughuli zake za kimuziki kwa takriba miaka kadhaa. Alipata umaarufu mkubwa sana kunako miaka ya 1990. Mwaka wa 2003, gazeti la Rolling Stone nao wamempa Santana namba 15 katika orodha zao za Wapiga Gitaa Wakubwa kwa muda wa miaka 100.[1]
Muziki
haririAlbamu zake akiwa na bendi ya Santana
hariri- Santana (1969) US: 2x Multi-Platinum
- Abraxas (1970) US: 5x Multi-Platinum
- Santana III, (1971) US: 2x Multi-Platinum
- Caravanserai (1972) US: Platinum
- Welcome (1973) US: Gold
- Lotus (Live) (1974)
- Borboletta (1974) US: Gold
- '[Amigos (1976) US: Gold
- '[Festival] (1977) US: Gold
- Moonflower (Live) (1977) US: 2x Multi-Platinum
- Inner Secrets (1978) US: Gold
- Marathon (1979) US: Gold
- Zebop! (1981) US: Platinum
- Shango (1982)
- Beyond Appearances (1985)
- Freedom (1987)
- Spirits Dancing in the Flesh (1990)
- Milagro (1992)
- Sacred Fire: Live in South America (1993)*
- Supernatural (1999) US: 15x Multi-Platinum
- Shaman (2002) US: 2x Multi-Platinum
- All That I Am (2005) US: Gold
Albamu zake akiwa kama msanii wa kujitegemea pamoja na za Ushirika
hariri- 'Carlos Santana & Buddy Miles! Live! (1972; with Buddy Miles) US: Platinum
- Love Devotion Surrender (1973; with John McLaughlin) US: Gold
- 'Illuminations (1974; akiwa na Alice Coltrane)
- Oneness: Silver Dreams, Golden Reality (1979)
- The Swing of Delight (1980)
- Havana Moon (1983; akiwa na Booker T & the MGs, Willie Nelson, na [[The Fabulous Thunderbirds)
- Blues for Salvador (1987)
- Santana Brothers (1994; C.S. akiwa na Jorge Santana na Carlos Hernandez)
- Santana Live at the Fillmore (1997)
- Carlos Santana and Wayne Shorter - Live at the Montreux Jazz Festival 1988 (2007)
Toleo Rasmi la Nyimbo Mchanganyiko
hariri- Santana's Greatest Hits (1974)
- Viva Santana! (Remixed Hits, Live & Previously Unreleased Collection) (1988)
- The Definitive Collection (Import) (1992)
- Dance of the Rainbow Serpent (3-CD Box Set) (1995)
- The Very Best of Santana (Single Disc Import) (1996)
- The Ultimate Collection (3-CD Import) (1997)
- The Best of Santana (1998)
- Best Instrumentals (Import) (1998)
- Best Instrumentals Vol. 2 (Import) (1999)
- The Best of Santana Vol. 2 (2000)
- The Essential Santana (2-CD 2002)
- Ceremony: Remixes & Rarities (2003)
- Love Songs (Import) (2003)
- Hit Collection (2007)
- Ultimate Santana (2007)
- The Very Best of Santana (Moja kwa moja kutoka 1968) (2007)
- Multi-Dimensional Warrior (2008)
Matoleao Yasiyorasmi
hariri- Samba Pa Ti (1988)
- Persuasion (1989)
- Latin Tropical (1990)
- Santana Unofficial Album (1990)
- The Big Jams (1991)
- Soul Sacrifice (1994)
- Santana Jam (1994)
- With a Little Help from My Friends (1994)
- Jin-Go-Lo-Ba (1995)
- SantanaLive Album (????)
- Santana Jingo And More Album (????)
Single zake
hariri- 1969: "Jingo" #56 US
- 1969: "Evil Ways" #9 US
- 1971: "Black Magic Woman" #4 US
- 1971: "Everybody's Everything" #12 US
- 1971: "Oye Como Va" #13 US
- 1972: "No One to Depend On" #36 US
- 1974: "Samba Pa Ti" #27 UK
- 1976: "Let It Shine" #77 US
- 1977: "She's Not There" #27 US, #11 UK
- 1978: "Well All Right" #69 US
- 1979: "One Chain (Don't Make No Prison)" #59 US
- 1979: "Stormy" #32 US
- 1980: "You Know That I Love You" #35 US
- 1981: "Winning" #17 US
- 1981: "The Sensitive Kind" #56 US
- 1982: "Hold On" #15 US
- 1982: "Nowhere to Run" #66 US
- 1985: "Say It Again" #46 US
- 1999: "Smooth" (akishirikiana na Rob Thomas) #1 US, #3 UK (kwenye chati 2000)
- 2000: "Maria Maria" (akishirikiana na The Product G&B) #1 US, #6 UK
- 2002: "The Game of Love" (akishirikiana na Michelle Branch) #5 US, #16 UK
- 2003: "Nothing at All" (akishirikiana na Musiq Soulchild)
- 2003: "Feels Like Fire" (akishirikiana na Dido #26 NZ
- 2004: "Why Don't You & I" (akishirikiana na Alex Band) #8 US
- 2005: "I'm Feeling You" (akishirikiana na Michelle Branch) #55 US
- 2005: "Just Feel Better" (akishirikiana na Steven Tyler) #8 AUS
- 2006: "Cry Baby Cry" (akishirikiana na Sean Paul and Joss Stone) #71 UK
- 2006: "Illegal (song)|Illegal" (Shakira akishirikiana na Carlos Santana) #4 ITA, #11 GER
- 2007: "No Llores" (Gloria Estefan akishirikiana na Carlos Santana, Jose Feliciano and Sheila E.)
- 2007: "Into the Night (Santana song)|Into the Night" (akishirikiana na Chad Kroeger) #2 CAN, #5 South Africa #5 Italy, #19 Germany, #26 US
- 2008: "This Boy's Fire" (akishirikiana na Jennifer Lopez with Baby Bash)
- 2008: "Fuego en el Fuego" (Eros Ramazzotti akishirikiana na Carlos Santana) #19 Spain
Ilani: Single ya Smooth, Maria Maria, na Into The Night kila moja imeorodheshwa katika Platinamu na RIAA.[2]
Video zake
hariri- Carlos Santana--Influences (video)
- Sacred Fire. Live in Mexico. (video & DVD)
- Supernatural (video & DVD)
- Viva Santana (DVD)
- Santana Live By Request (DVD)
Vyanzo
hariri- Soul Sacrifice; The Carlos Santana Story Simon Leng 2000
- Space Between the Stars Deborah Santana 2004
- Rolling Stone "The Resurrection of Carlos Santana" Ben Fong Torres 1972
- New Musical Express "Spirit of Santana" Chris Charlesworth, Novemba 1973
- Guitar Player Magazine 1978
- Rolling Stone "The Epic Life of Carlos Santana" 2000
- Santana I - Sony Legacy Edition: liner notes
- Abraxas - Sony Legacy Edition: liner notes
- Santana III - Sony Legacy edition: liner notes
- Viva Santana - CBS CD release 1988; liner notes
- Power, Passion and Beauty - The Story of the Legendary Mahavishnu Orchestra Walter Kolosky 2006
- Best of Carlos Santana - Wolf Marshall 1996; introduction and interview
Marejeo
hariri- ↑ "The 100 Greatest Guitarists of All Time : Rolling Stone". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-07-05. Iliwekwa mnamo 2008-10-09.
- ↑ "RIAA Gold and Platinum Search for singles by Santana". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2008-10-09.
Viungo vya nje
hariri- (en) Tovuti rasmi
- Official Fan Club Ilihifadhiwa 3 Julai 2015 kwenye Wayback Machine.
- Milagro Foundation
- Cover & Tracklists Ilihifadhiwa 25 Januari 2012 kwenye Wayback Machine.
- Transition, The Story of Santana Ilihifadhiwa 17 Juni 2008 kwenye Wayback Machine.
- 2006 Carlos Santana Interview Ilihifadhiwa 29 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
- (Kiingereza) Carlos santana's videos and lyrics Ilihifadhiwa 21 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine.
- Carlos Santana lyrics Ilihifadhiwa 3 Julai 2008 kwenye Wayback Machine. organized by album from
- Carlos Santana profile at World Music Central Ilihifadhiwa 13 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
- Carlos Santana interview at Bmore Tunes Ilihifadhiwa 11 Juni 2008 kwenye Wayback Machine.
- Legacy Recordings Ilihifadhiwa 7 Oktoba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Internet Movie DataBase profile