Caroline Danjuma
Caroline Danjuma (anajulikana pia kwa jina la Caroline Ekanem; alizaliwa mwaka 1987) ni mchezafilamu wa Nigeria aliyeanza kuonekana na kung'ara katika filamu kama nyota mwaka 2004 akiwa Nollywood, alikuja kujitokeza zaidi mwaka 2016 akiwa kama muandaaji na nyota wa filamu.
Caroline Danjuma | |
---|---|
Amezaliwa | 26 Juni 1987 Maiduguri, Nigeria |
Jina lingine | Caroline Uduak Abasi Ekanem |
Kazi yake | Muigizaji |
Miaka ya kazi | 2004-2007; 2015-hadi sasa |
Ndoa | Musa Danjuma |
Maisha ya awali na taaluma
haririCaroline amezaliwa katika familia ya baba Mskoti na mama Mnigeria.[1][2] ni mtoto wa kwanza katika familia ya watoto watatu .[3] alisomea fani ya mipango miji,jeografia na usimamizi wa mazingira katika chuo kikuu cha University of Calabar.[4]
Taaluma ya uigizaji
haririChico Ejiro, kupitia Rita Dominic, alimtambulisha Danjuma katika tasnia ya filamu nchini Nigeria mwaka 2004 katika filamu ya Deadly Care. aliendelea kung'ara zaidi katika filamu nyingine zikiwemo Deadly Kiss (2004), Missing Angel (2004), The Captor (2006), Foreign Affairs, Real Love, The Twist, A Second Time na The Beast and the Angel,filamu zake za karibuni ni Stalker (2016), Jim Iyk na Nse Ikpe Etim. mwaka August 2017, alipatiwa tuzo ya heshima kwa programu zake za utetezi kwa ajili ya vijana chini ya Pan-African organization.[5]
Marejeo
hariri- ↑ "Caroline Danjuma is 34 years old". Pulse GH. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-13. Iliwekwa mnamo 23 Juni 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Nollywood actress Danjuma turns 33". The Eagle Online. Iliwekwa mnamo 23 Juni 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "I have never compromise my body for money.......Caroline Ekanem Danjuma". Modern Ghana. Iliwekwa mnamo 23 Juni 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Why I married Danjuma". Newswatch Times. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 30 Aprili 2016. Iliwekwa mnamo 23 Juni 2016.
{{cite web}}
: More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Caroline Danjuma Wins 2017 Mandela Award". TheTideNewsOnline.com. Nigeria: Rivers State Newspaper Corp. 11 Agosti 2017. Iliwekwa mnamo 2 Desemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Caroline Danjuma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |