Catanzaro ni makao makuu ya wilaya yenye jina hilohilo na ya mkoa wa Calabria, Italia Kusini.

Muonekano wa mji wa Catanzaro

Mji huo una wakazi 88,457 (2019), hivyo ni wa pili mkoani.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Catanzaro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.