Cerro Negro de Mayasquer

Cerro Negro de Mayasquer ni mlima wa Andes kati ya nchi za Ekwador na Kolombia (Amerika Kusini).

Mlima uko kaskazini kabisa mwa miinuko hii ya Ekwador.

Urefu wake ni mita 4,445 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.