Cesare Vincenzo Orsenigo (13 Desemba 18731 Aprili 1946) alikuwa Balozi wa Papa nchini Ujerumani kuanzia mwaka 1930 hadi 1945, wakati wa kupanda kwa utawala wa Kinazi nchini Ujerumani na Vita vya Pili vya Dunia.

Cesare Orsenigo

Pamoja na balozi wa Ujerumani katika Vatican, Diego von Bergen na baadaye Ernst von Weizsäcker, Orsenigo alikuwa kiungo cha moja kwa moja cha kidiplomasia kati ya Papa Pius XI na Papa Pius XII na utawala wa Nazi, akikutana mara kadhaa moja kwa moja na Adolf Hitler na mara kwa mara na maafisa wengine wa ngazi za juu na wanadiplomasia.[1][2]

Orsenigo akipeana mikono na Joseph Goebbels

Marejeo

hariri
  1. Brown-Fleming, 2006, p. 180, note 68.
  2. Kertzer, David I. (28 Januari 2014). The Pope and Mussolini: The Secret History of Pius XI and the Rise of Fascism in Europe. 3414: Random House.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: location (link)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.