Papa Pius XI

Papa Pius XI.
Pius XI ofisini.

Papa Pius XI (31 Mei 185710 Februari 1939) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6 Februari 1922 hadi kifo chake.

Alimfuata Papa Benedikto XV na kuvishwa taji tarehe 12 Februari 1922. Akafuatwa na Papa Pius XII.

MaishaEdit

Alitokea nchi ya Italia. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Achille Ambrogio Damiano Ratti.

Kabla ya kuchaguliwa kama Papa, alikuwa askofu mkuu wa Milano (tangu 1921).


  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius XI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.