Chemsha Bongo
Chemsha Bongo ni mafumbo au maswali yenye maana iliyofichika ambayo inamuhitaji mtu kutumia akili na ujuzi ili kuyajibu [1].
Sifa
haririFaida
hariri- Huongeza uwezo wa mtu kusikiliza
- Huongeza kumbukumbu
- Hutoa elimu ya maumbile
- Hukuza uwezo wa lugha
Marejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2020-03-21.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chemsha Bongo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |