Cherifa Kersit

Mwimbaji wa Morocco

Cherifa Kersit (alizaliwa 1 Januari, 1967) ni mwimbaji wa nchini Morocco

Cherifa Kersi
[[Image:
|225px|alt=]]
Cherifa kersit akiwa agadir mwaka 2019
Amezaliwa 1 Januari 1967
Tazrout M'oukhbou
Nchi Moroko/Morocco
Kazi yake Mwimbaji


Wasifu

hariri

Cherifa alizaliwa huko Tazrout M'oukhbou, katika eneo la Khenifra kwenye milima ya Atlasi ya Kati nchini Morocco, katika familia ya watoto 16. Tangu akiwa msichana mdogo, hakuwahi kwenda shule na badala yake alifanya shughuli za kila siku mashambani, ambako alijifunza uimbaji wa kitamaduni.[1] Mnamo 1999, Cherifa alifanya ziara yake ya kwanza nchini Ufaransa ambapo alishiriki katika onyesho la "Ngoma na wimbo wa Mwanamke wa Moroko, kutoka alfajiri hadi jioni".[2] Mnamo 2002, alitoa albamu yake ya kwanza iliyoitwa Berber Blues

Orodha ya kazi zake za muziki

hariri

Albamu ya Berber Blues

hariri
  • Idhrdh Umalu Z Iâari
  • Maysh Yiwin May Tshawrth?
  • Ndda S Adbib Nnani
  • Ma Gn Tufit Amazir?
  • Isul Isul Umarg Nsh Awadigi
  • Tahidust: Wllah Ar Thagh Lafiyt G Ul Usmun

[3] [4] [5]

Marejeo

hariri
  1. "Chérifa Kersit , la diva amazighe". Bladi.net. Iliwekwa mnamo 2017-06-28.
  2. "Cherifa Kersit : biographie. Musique tamazight". Music-berbere.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-05-27. Iliwekwa mnamo 2017-06-28.
  3. Hungama, Berber Blues (kwa Kiingereza), ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-06, iliwekwa mnamo 2020-10-02 {{citation}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  4. Berber Blues - Cherifa | Songs, Reviews, Credits | AllMusic (kwa American English), iliwekwa mnamo 2020-10-02
  5. "Cherifa* - Berber Blues - Maroc / Morocco". Discogs (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-10-02.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cherifa Kersit kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.