Chiponda
Chiponda ni kata ya Wilaya ya Mtama katika Mkoa wa Lindi, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,162 6,396[1].
Msimbo wa posta ni 65209.
Wakazi wa asili ya kata ya Chiponda wengi wao hi kabila la Wamwera ambao walitokea sehemu za Wilaya ya Nachingwea na wengi wao walihamia kutoka eneo hilo hasa kipindi cha vita ya kwanza ya dunia kwa vile eneo hilo lipo sehemu ya mlima.
Marejeo Edit
- ↑ Sensa ya 2012, Lindi - Lindi DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-06-22.
Kata za Wilaya ya Mtama - Tanzania | ||
---|---|---|
Chiponda | Kilangala | Kilolambwani | Kitomanga | Kiwalala | Kiwawa | Longa | Majengo | Mandwanga | Matimba | Mchinga | Milola | Mipingo | Mnara | Mnolela | Mtama | Mtua | Mtumbya | Mvuleni | Nachunyu | Nahukahuka | Namangale | Namupa | Nangaru | Navanga | Nyangamara | Nyangao | Nyengedi | Pangatena | Rutamba | Sudi |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Lindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Chiponda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |