Nachunyu ni kata ya Wilaya ya Mtama katika Mkoa wa Lindi, kusini mwa Tanzania, yenye msimbo wa posta 65201.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 9,753 [1].Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,713 walioishi humo[2].

Nachunyu inajumuisha vijiji viwili: kijiji cha Mmumbu na kijiji cha Nachunyu. Kata ya Nachunyu ni maarufu kwa mazao ya biashara kama vile korosho lakini pia ufuta.

Marejeo

hariri
  1. https://www.nbs.go.tz/
  2. "Sensa ya 2012, Lindi - Lindi DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-06-22.
  Kata za Wilaya ya Mtama - Tanzania  

Chiponda | Kiwalala | Longa | Majengo | Mandwanga | Mnara | Mnolela | Mtama | Mtua | Mtumbya | Nachunyu | Nahukahuka | Namangale | Namupa | Navanga | Nyangamara | Nyangao | Nyengedi | Pangatena | Sudi


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Lindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nachunyu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.