Chloe Bennet

Mwigizaji na mwimbaji wa Marekani

Chloe Wang (maarufu kama Chloe Bennet; alizaliwa Chicago, Illinois, Aprili 18, 1992[1]) ni mwigizaji na mwimbaji wa Marekani. Aliigiza kama Daisy Johnson/Quake katika tamthilia ya Marvel's Agents of SHIELD (2013–2020).

Bennet akiwa Wondercon mwaka 2018

Maisha ya zamani hariri

Chloe Wang ni mtoto wa Bennet Wang, ambaye ni mfanyakazi wa benki ya uwekezaji [2] na Stephanie Crane, mtaalamu wa mafunzo. [3]

Mama yake Bennet ni Mmarekani mwenye asili ya Uingereza na baba yake ni Mchina. [4] Ana kaka saba: [5] wanne wa kibiolojia, walezi wawili na mmoja wa kuasili; wawili ni wa asili ya Kiafrika na mmoja ana asili ya Mexico na Ufilipino. [6]

Alihudhuria St. Ignatius College Prep. [6]

Marejeo hariri

  1. "Chloe Bennet". TV Guide. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo September 27, 2014. Iliwekwa mnamo September 30, 2015.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. Hiltbrand, David (November 12, 2013). "Chloe Bennet out to impress the guys". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo December 18, 2014. Iliwekwa mnamo May 12, 2014.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. reporter, Courtney Crowder, Chicago Tribune. "Chloe Bennet brings humor and heart to 'Agents of S.H.I.E.L.D.'". chicagotribune.com (kwa en-US). Iliwekwa mnamo March 14, 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Actress Chloe Bennet says changing her name changed her luck". 
  5. "Chloe Bennet – Episode 5". Fired Up with Brad Jenkins 🔥☝🏾 (kwa en-US). Iliwekwa mnamo August 7, 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. 6.0 6.1 "Chloe Bennet brings humor and heart to 'Agents of S.H.I.E.L.D.'".