Chris Madsen (alizaliwa 23 Februari, 1954) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwalimu, na mwandishi wa Kanada kutoka Vernon, British Columbia. [1][2][3]

Madsen akiwa Silverton, BC katika Majira ya Poa ya 2012.


Marejeo

hariri
  1. Froneman, Kristin (27 April 2011). "(Article) Big Night Out For Music (including mention of Chris Madsen being the winner for Instrumental Recording of the year and quotes from Chris". Vernon Morning Star.
  2. Froneman, Kristin (27 March 2011). "(Article) Award Nods go to Familiar and New Faces (including mention of Chris Madsen being nominated for Instrumental Album of the year)". Vernon Morning Star.
  3. Tree Brewing Presents (20 September 2007). "(Press Release) 2007 Okanagan Music Award Nominees (in which Chris Madsen is nominated and subsequently wins for Instrumental Group or Artist of the Year.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chris Madsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.