Chris Smalling

Christopher Llyod Smalling (alizaliwa 22 Novemba 1989) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza katika Ligi Kuu ya Uingereza na timu ya taifa ya Uingereza.

Chris akiwa katika jezi ya klabu yake.
Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chris Smalling kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.