Christina Marie Katrina Julien (alizaliwa Cornwall, Ontario,6 Mei, 1988) ni mshambuliaji wa soka kutoka Kanada ambaye anachezea klabu ya Ujerumani ya 1. FC Köln na katika timu ya taifa ya wanawake ya Kanada.[1][2]

Akichezea FF USV Jena mwaka 2014.


Marejeo

hariri
  1. Profile in FIFA.com's 2011 WC section
  2. "Christina Julien verlässt FF USV Jena" [Christina Julien leaves FF USV Jena] (kwa Kijerumani). Jena TV.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christina Julien kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.