Hifadhi ya Taifa ya Chyulu Hills

(Elekezwa kutoka Chyulu Hills National Park)

Hifadhi ya Taifa ya Chyulu Hills ni kati ya hifadhi za taifa nchini Kenya. Inapatikana katika kaunti ya Makueni.

Ndani yake ipo safu ya volkeno ya Chyulu Hills.

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: