Chyulu Hills
Chyulu Hills ni safu ya volkeno ya kale yenye urefu wa km 100 na kimo cha mita 2,188 juu ya UB.
Volkeno hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Makueni.
Tazama pia hariri
Marejeo hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Chyulu Hills kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |