Cicero
Marcus Tullius Cicero (3 Januari 106 KK - 7 Desemba 43 KK) alikuwa mwanasiasa mashuhuri wa Jamhuri ya Roma, lakini pia wakili, mwana nadharia wa siasa, mwanafalsafa, na mtaalam wa katiba ya Kirumi, aliyechukua jukumu muhimu katika mabadiliko ya Jamhuri kuwa Dola la Roma.
Akiwa mwenzake Julius Caesar, Cicero anachukuliwa sana kama mmoja wa watetezi wakuu na waandishi wa nathari bora wa Roma ya Kale.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ Rawson, E.: Cicero, a portrait (1975) p. 303
- ↑ Haskell, H.J.: This was Cicero (1964) pp. 300–01
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cicero kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |