Claude Albemarle Betington ( Alizaliwa 13 Mei 1875, Cape Colony, Afrika Kusini - na kufariki 10 Septemba 1912, Wolvercote, Oxfordshire, Uingereza) alikuwa mhandisi wa madini na mwanzilishi wa ndege kutoka nchini Afrika Kusini.

Maisha ya awali hariri

Claude Albemarle Betington alikuwa mtoto wa Col. Rowland Albermarle Betington. Alihudhuria Chuo cha St. Andrew, Grahamstown kuanzia Aprili hadi Desemba 1890.

Viungo vya nje hariri

Marejeleo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Claude Bettington kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.