Cormega
Cory McKay (anajulikana kwa jina la kisanii kama Cormega au Mega) ni rapa na mtunzi wa nyimbo kutoka mjini New York City huko nchini Marekani.
Cormega | |
---|---|
Taarifa za awali | |
Jina la kuzaliwa | Cory McKay |
Chimbuko | New York City, Marekani |
Kazi yake | Rapper, mtunzi wa nyimbo, mshairi |
Ala | Sauti |
Miaka ya kazi | 1989–hadi sasa |
Studio | Aura/Legal Hustle |
Wavuti | http://instagram.com/iamcormega |
Maisha ya awali
haririCormega alizaliwa mjini Brooklyn, NY na kukulia katika maeneo mbalimbali ya mjini humo New York City, alijenga urafiki wa utotoni na marapa wa baadaye kama vile Nas, Nature, na Capone .[1][2] Maudhui mengi katika muziki wake yanahusu hasa marafiki na nduguze waliouawa kwa kufuatia machafuko au ukorofi katika maisha yao.
Diskografia
haririAlbamu
haririJina | Maelezo ya albamu | Nafasi iliyoshika | |||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
US [3] |
US R&B [4] |
US Ind. [5][6] | |||||||||||
The Realness |
|
111 | 24 | 4 | |||||||||
The True Meaning |
|
95 | 25 | 5 | |||||||||
Born and Raised |
|
— | 56 | — | |||||||||
Mega Philosophy |
|
— | 30 | — | |||||||||
"—" denotes a recording that did not chart or was not released in that territory. |
Albamu za kompilesheni
haririJina | Maelezo ya albamu | Nafasi iliyoshika | |||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
US [3] |
US R&B [4] |
US Ind. [5] | |||||||||||
Legal Hustle |
|
174 | 22 | 8 | |||||||||
Raw Forever |
|
— | — | — | |||||||||
"—" ina-maanisha rekodi hiyo haijashika chati au kutolewa katika ukanda huo. |
Vibao vyake
haririMwaka | Wimbo | Chati | Albamu |
---|---|---|---|
U.S. Rap [7] | |||
2000 | "You Don't Want It" | 41 | The Realness |
2001 | "Get Out My Way" | — | |
2002 | "Built for This" | — | The True Meaning |
"The Come Up" (featuring Large Professor) | — | ||
2004 | "Let It Go" (featuring M.O.P.) | — | Legal Hustle |
"Dangerous" (featuring Unda P. and Vybz Kartel) | — | ||
2005 | "One Love" | — | The Testament |
2007 | "The Saga (The Remix)" (produced by Stanley O) | — | Single Release |
2009 | "Dirty Game" | — | Born and Raised |
2016 | "Guns And Butter" (feat. Gunplay)[8] | — |
Marejeo
hariri- ↑ "CORMEGA BIOGRAPHY". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-02-24. Iliwekwa mnamo 9 Machi 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Cormega - Article". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-28. Iliwekwa mnamo 2016-07-19.
- ↑ 3.0 3.1 [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] "Cormega – Chart History: Billboard 200"]. Billboard. Prometheus Global Media. Iliwekwa mnamo Januari 2, 2015.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 4.0 4.1 [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] "Cormega – Chart History: Billboard R&B/Hip-Hop Albums"]. Billboard. Prometheus Global Media. Iliwekwa mnamo Januari 2, 2015.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 5.0 5.1 [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] "Cormega – Chart History: Billboard Independent Albums"]. Billboard. Prometheus Global Media. Iliwekwa mnamo Januari 2, 2015.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Cormega > Awards". Kigezo:Noitalic. Rovi Corporation. Iliwekwa mnamo Januari 2, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Cormega katika Allmusic
- ↑ "Cormega and Gunplay release new single". 2dopeboys.com. Februari 29, 2016. Iliwekwa mnamo Februari 29, 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
hariri- TSS Presents Smoking Sessions with Cormega, Part I Archived 15 Oktoba 2007 at the Wayback Machine.
- TSS Presents Smoking Sessions with Cormega, Part II Archived 15 Oktoba 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cormega kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |