Cristian Rodriguez

Cristian Rodriguez (alizaliwa Juan Lacez, Urugwai, 30 Septemba 1985) ni mchezaji wa soka.

Rodríguez akiwa na Peñarol mwaka wa 2018
Rodríguez akiwa na Peñarol mwaka 2018

Alianza kucheza mpira akiwa mdogo sana; jina lake la utani waliokuwa wanamuita ni Cebolla lilitoka huko penalo kwa baba yake na sababu ya kulipenda jina hilo lilikuwa na maana nzuri ni mtu mwenye kasi, uwezo na maarifa.

Katika kipindi chake alishawahi kucheza Ureno katika timu zinazoitwa Benfica na Porto; pia alishawahi kuchezea Atletico Madrid.

Rodriguez aliwakilisha timu ya taifa lake mwaka 2014 katika Kombe la Dunia la FIFA.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cristian Rodriguez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.