Dent d'Hérens ni mlima wa Alpi kati ya nchi za Italia na Uswisi (Ulaya).
Urefu wake ni mita 4,171 juu ya usawa wa bahari.