Dickson Daudi
Mwanasoka wa Tanzania
Dickson Daudi, (alizaliwa 10 Aprili, 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Tanzania ambaye anachezea klabu ya Mtibwa Sugar F.C ya Morogoro ( 2005 - 2023) kama beki .[1]
Dickson Daudi Mbeikya | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Tarehe ya kuzaliwa | 10 Aprili 1986 | |
Mahala pa kuzaliwa | Tanzania | |
Nafasi anayochezea | Beki | |
Timu ya taifa | ||
Timu ya Taifa ya Tanzania | ||
* Magoli alioshinda |
Pia ameshawahi kucheza katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania mnamo mwaka 2006 katika mashindano ya kombe la CECAFA huko Addis Ababa, Ethiopia.[2]
Marejeo
hariri- ↑ [1] at National-Football-Teams.com
- ↑ Benjamin Strack-Zimmermann. "Dickson Daudi (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-10.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dickson Daudi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |