Didier wa Cahors (kwa Kilatini Desiderius; 580 hivi – 15 Novemba 655) alikuwa askofu wa Cahors baada ya ndugu yake Rusticus wa Cahors.

Chini yake jimbo lilistawi katika miaka 630-655[1]. Pia alianzisha monasteri chini ya kanuni ya Kolumbani.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Novemba.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Lewis, Archibald R. "The Development of Southern French and Catalan Society, 718–1050", ch 1

Vyanzo hariri

  • Desiderii episcopi Cadurcensis epistolae, ed. W. Arndt, Epistolae Merowingici et Karolini aevi 1, MGH EE 3, Berlin 1892, pp. 191–214 (Latin edition).
  • La vie de Saint Didier, évêque de Cahors (630–655), ed. R. Poupardin, Paris 1900 (Latin edition with a French introduction).
  • Epistulae Sancti Desiderii, ed. D. Norberg, Acta Universitatis Stockholmiensis, Studia Latina Stockholmiensia 4, Uppsala 1961 (Latin edition).

Fasihi hariri

  • J.R.C. Martyn: King Sisebut and the culture of Visigothic Spain, with translations of the lives of Saint Desiderius of Vienne and Saint Masona of Mérida, Lewiston 2008.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.