Diokletian
(Elekezwa kutoka Diocletianus)
Gaius Aurelius Valerius Diocletianus (takriban 245 – takriban 312) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 20 Novemba 284 hadi 1 Mei 305 alipojiuzulu. Alimfuata Numerian.
Kwanza alitawala dola zima, lakini 1 Machi 286 alimteua Maximian kutawala sehemu za Magharibi.
Ni maarufu kwa kuendesha dhuluma kali zaidi ya serikali ya Dola la Roma dhidi ya Wakristo.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Diokletian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |