Mjoho

(Elekezwa kutoka Diospyros)
Mjoho
Mjoho mpweke
Mjoho mpweke
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Asterids (Mimea kama alizeti)
Oda: Ericales (Mimea kama mdambi)
Familia: Ebenaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mjoho)
Jenasi: Diospyros
L.
Spishi: Zaidi ya 700

Mijoho ni miti mikubwa kiasi ya jenasi Diospyros katika familia Ebenaceae. Matunda yake huitwa majoho.

Spishi kadhaa hupandwa ili kuvuna majoho, lakini spishi nyingi sana hukua misituni katika kanda za tropiki na nusutropiki. Nyingine hukatwa ili kutumia ubao wao mzuri (abunusi), nyingine hutumiwa kwa kuvuna majoho, nyingine tena hazitumiki.

Spishi nyingi hutishika na kutoweka kwa sababu zinakatwa sana au kwa sababu mazingira yao yanaharibiwa.

Spishi za Afrika

hariri