Do for Love
(Elekezwa kutoka Do For Love)
"Do for Love" (awali iliitwa 'Sucka 4 Luv' katika umbo lake lisilotolewa) ulikuwa wimbo wa pili kutolewa kama single baada ya kifo cha Tupac Shakur kutoka katika albamu yake iliyotolewa baada ya kufa kwake R U Still Down? (Remember Me). Sampuli ya sauti ya wimbo huu imetokana na wimbo wa "What You Won't Do for Love" wa Bobby Caldwell. Wimbo ulifikia nafasi ya #21 kwenye chati za Billboard Hot 100. Video yake inamwonesha Tupac katika umbo la katuni; wimbo huu pia umetumia nukuu ya Sir Walter Scott ("O, what a tangled web we weave").
“Do for Love” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya 2Pac akishirikiana na BLACKstreet kutoka katika albamu ya R U Still Down? (Remember Me) | |||||
B-side | Brenda's Got a Baby | ||||
Imetolewa | 1997 | ||||
Muundo | 12" single, CD | ||||
Imerekodiwa | 1994;1996 | ||||
Aina | Rap, G-funk | ||||
Urefu | 4:40 | ||||
Studio | Interscope Jive Records Amaru Entertainment | ||||
Mtunzi | Alfons Kettner, Bobby Caldwell, Carsten Schack, Kenneth Karlin, Tupac Shakur | ||||
Mtayarishaji | Soulshock & Karlin | ||||
Certification | Gold (RIAA) | ||||
Mwenendo wa single za 2Pac akishirikiana na BLACKstreet | |||||
|