Dom ni mlima wa Alpi katika nchi ya Uswisi (Ulaya).

Mlima Dom, upande wa Magharibi

Urefu wake ni mita 4,545 juu ya usawa wa bahari, hivyo ni wa tatu kati ya milima yote ya Alpi.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Dom kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.